Suruali za cadet na shati kwa bei poa

Apologise lady

JF-Expert Member
Sep 16, 2013
5,979
3,103
Jipatie suruali za cadet kwa Tsh 30000 rejareja, na Tsh 25000 jumla.

Shati kwa Tsh 23000

Ukihtaji ni pm
 
Attachments

  • 1460990448666.jpg
    1460990448666.jpg
    22.7 KB · Views: 219
  • 1461000583315.jpg
    1461000583315.jpg
    26.8 KB · Views: 233
  • 1461000614493.jpg
    1461000614493.jpg
    26.7 KB · Views: 204
  • 1461000639104.jpg
    1461000639104.jpg
    27.3 KB · Views: 177
  • 1461000667815.jpg
    1461000667815.jpg
    82.2 KB · Views: 179
  • 1461000693581.jpg
    1461000693581.jpg
    87 KB · Views: 172
  • 1461000719825.jpg
    1461000719825.jpg
    33.6 KB · Views: 155
  • 1461000744305.jpg
    1461000744305.jpg
    34.2 KB · Views: 188
Niko Mwanza nahtaji Surual mbili na shat mbili...toa maelekezo yakuzipata na je ni orginal coz zimejaa fake kibao huku kwa elfu 25
 
Zinapatikana wap?
Nipo Dar
Picha hazufunguki
Pole mkuu
Upo wapi na je kwa watu wa mikoani vipi
Mkoani unatumiwa ila ghaqama za utumaji ni zako mteja,
Niko Mwanza nahtaji Surual mbili na shat mbili...toa maelekezo yakuzipata na je ni orginal coz zimejaa fake kibao huku kwa elfu 25
a. Popote unatumiwa
B. Labda uniambie hizo fake zinatengezwa wapi.
Unapatikana wapi au Mbeya

Anaehitaji anaweza kuja pm
 
Upo Dar maeneo gani mkuu, wengine huwa hatununui bila kujaribu maana nguo zenyewe siku hizi chenga tupu, 34 moja inakua sawa na 36 nyingine.
 
Nipo Dar

Pole mkuu

Mkoani unatumiwa ila ghaqama za utumaji ni zako mteja,

a. Popote unatumiwa
B. Labda uniambie hizo fake zinatengezwa wapi.

Anaehitaji anaweza kuja pm

Mkuu hebu funguka zaidi maana kuna wateja wakutosha. Dar eneo lipi? kwakuwa si swala la kuleta tu inapaswa tuangalie tujiridhishishe na materials, mshono nk. Siwezi kukuambia nilitee sehemu fulani nisipo ipenda utakuwa umepoteza muda na nauli yako bure. Sema upo wapi tuje.
 
Jibu ni hili. kama ni serious buyer naamini ungekuwa umekuja pm na umepata taarifa kamili.

Pia faida kwa wengine sikurupuki kufanya delivery kwa mtu, wala kumtumia mtu. Hii ndio sababu sijawahi rudishiwa bidhaa kwasababu ya ubora hafifu, kuna watu wengi nishawatumia na kuwapelekea bidhaa humu, wanajua.
 
Eh. .asante
 
Sorry apologize nilipoteza namba yako nichek kesho nahitaji mzigo, Tunzo wa mwenge
 
Itakuwa huna duka unauzia mkononi tu..maaana unhekuwa na duka na ukataja ilipo fremu yako specificaly location ungepata great demand kuliko Pm .....biashara nzuri ni hadharani pm za nn tena
 
Mkuu vp, mi napenda cadet new model je unazo hizo, nahisi ni mojawapo ya hyo nyeusi, je ndio zenyewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom