Nani anauza Toyota Vitz jamani

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,879
6,356
Wadau nahitaji gari aina ya Toyota Vitz (used)..

Kama kuna anayeuza naomba anicheck na aweke details kabisa. Ila plz isiwe imetumika sana na isiwe toleo la kizamani. Nataka toleo B..

Niko Dar kwa sasa.. Nikipata naanza nayo safari to Morogoro..

Natanguliza shukrani..
 
Poa nitakutumia, bei labda kukupunguzia ni elf 50, nikikutumia picha utaiona na utaikubali
Mbona hujanitumia mkuu? Nasubiri tufanye biz ikiwezekana leo hii. Na je uko Dar?
 
Aweke picha lakini mie ndio mteja niliyewahi.. Usije leta ujanja mkuu ukanizidi kete
Ipo mwanza inataka 5.5M
ca0286229f917baf3911d764be31c262.jpg
00746c0ddc6c5bb8be3fc9f0df128385.jpg
664f19ab05184cdb9376fd2ad747e15c.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom