House4Rent Natafuta Chumba Kimara! Dalali Tokea Hapa Ule Mpunga.

mzama chumvini

JF-Expert Member
Mar 14, 2016
730
641
Sabakher Wadau;

Kuna Dogo Angu {wa kiume} Anakuja Hapo Piligrims College Kimara Kusoma!
Sasa Kwa Gharama Za Bwen Siziwezi Ni 3.4M! So Naomba Dalali Jitokeze Hapa Au PM Unisaidie;
1. Chumba Kiwe Na Umeme Na Maji
2. Kisiwe Mbali Na Chuo! Maximum 5KM
3. Mama/Baba Mwenye Nyumba Asiwe Na Sifa Za Kichawi Chawi.
4. Kodi Isizidi 50,000/= Per Month! Kama Atapenda Tulipe Ya Miez Au Mwaka Ni Yeye!
5. Dalali Utakula 50,000/= Ukikamilisha Kazi Yote.
PM KWA MAULIZO AU MAWASILIANO.
 
Ngoja waje mimi ninavyo mwenge, ila Kuna dalali namfahamu kule nitamcheki kesho kama anavyo
 
Back
Top Bottom