Tecno phantom z mini smartphone ya kijanja kwa bei chee !

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,378
watu wangu wa nguvu natumaini mambo yenu salama

Tecno-Phantom-Z-mini1.jpg

wadau team tecno natumiani wazima nyie, sisi tunaenjoy mambo ya kwenye simu za milioni kwa kulipia laki zetu kadhaa, tecno inavyonipa raha yani acha tu kama ni kamera hakuna utofauti na simu za mamilioni, kama na battery tecno hatunaga shida ya kuchaji-chaji kila mara, kama ni internet basi ni spidi ya radi unadownload mavideo yaani bando haikai, kwa ufupi simu zet zinatupa kila kitu kama zile simu za milioni.

Mzigo mpya umefika bongo "TECNO PHANTOM Z MINI" unaipata kwa 430,000/=tsh unapata hii mashine ni "kiboko cha mkoloni" siisifii kwa maneno wacha nikupe uhalisia wake

ina android 4.4

display yake ni 720 x 1280 pixels hapa ni mwendo wa kuangalia video za 720p hd

ina ukubwa wa space 16gb!!! hapa mwisho wa kazi

simu ina spidi kwa Processor yenye 1.4GHz octa-core Cortex-A7 CPU yani hapa hakuna migando

speed ya internet inafika 21 mbps hapa kudownload mb 1 kwa sekunde ni kawaida sana kwa nchi yetu.

camera 13MP, up to 4128 x 3096-pixel pictures, HDR hana tofauti sana na zile simu za milioni

camera ya mbele 8mp

vingine soma hapa Tecno Phantom Z mini Specifications, Features And Price

kwa hiyo kifupi hii simu jamani its worth it
 
Naona wanajitahidi kutupia vitu vya iphone ili kushika watu..
 
Sokoni Kariakoo zishatua? Nahama sasa toka H5 kwenda Phantom Z mini....niambie tu zinapatikana wapi
 
zipo kariakoo bei yake ni 360,000 tuu.. karibu katika ulimwengu wa phantom z mini ufurahie ubora wa simu kwa pesa kidogo..
 
Naona unaipa promo tecno, ww wakala nn.
 
5" display, we still call it mini, ha ha ha ha ha haaaaaaah, that is funny eeh!
Sifa nyingi lakini hamna cha kuchukua
You can call me anti-tecno
 
ni mini kwa mfumo wa feautures ile yenyewe phantom z ndio baba yake
 
watu wangu wa nguvu natumaini mambo yenu salama

View attachment 223187

wadau team tecno natumiani wazima nyie, sisi tunaenjoy mambo ya kwenye simu za milioni kwa kulipia laki zetu kadhaa, tecno inavyonipa raha yani acha tu kama ni kamera hakuna utofauti na simu za mamilioni, kama na battery tecno hatunaga shida ya kuchaji-chaji kila mara, kama ni internet basi ni spidi ya radi unadownload mavideo yaani bando haikai, kwa ufupi simu zet zinatupa kila kitu kama zile simu za milioni.

Mzigo mpya umefika bongo "TECNO PHANTOM Z MINI" unaipata kwa 430,000/=tsh unapata hii mashine ni "kiboko cha mkoloni" siisifii kwa maneno wacha nikupe uhalisia wake

ina android 4.4

display yake ni 720 x 1280 pixels hapa ni mwendo wa kuangalia video za 720p hd

ina ukubwa wa space 16gb!!! hapa mwisho wa kazi

simu ina spidi kwa Processor yenye 1.4GHz octa-core Cortex-A7 CPU yani hapa hakuna migando

speed ya internet inafika 21 mbps hapa kudownload mb 1 kwa sekunde ni kawaida sana kwa nchi yetu.

camera 13MP, up to 4128 x 3096-pixel pictures, HDR hana tofauti sana na zile simu za milioni

camera ya mbele 8mp

vingine soma hapa Tecno Phantom Z mini Specifications, Features And Price

kwa hiyo kifupi hii simu jamani its worth it
Mkuu hiv kwa sasa hiz tecn platnum zinauzwa sh ngap nazitafuta sana mkuu
 
Back
Top Bottom