Kitomai
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 1,063
- 299
Iwe Dae es Salaam maeneo yoyote yale, iwe Mbagala, Chamazi Mbade Boko salasala Chanika Kimara, Mapinga kerege n.k iwe na vyumba vya kulala visivyopungua vitatu.. bajeti 50mi 60mil au 70mil...kama unayo nitumie picha na maelezo yake kwa whatsap 0784225000 au sms za kawaoda au katika email hii info@kitomai.com