Noah inauzwa mbeya.

yathriba

Member
Feb 7, 2011
35
6
Noah inauzwa ipo katika hali nzuri ,ipo mkoani mbeya mjini..kwa mawasiliano nicheck watsapp 0773496161 ama 0655495151.
1462603538304.jpg
1462603554074.jpg
1462603583824.jpg
1462603603353.jpg
 
Maelezo gani tena mkuu apo unayoyahitaji ?uliza nukujibu.mm ni mwenyewe wala sio dalali.
 
Bei ni 9mil mazungumzo yapo,sorry kumbe skuweka bei ila kama upo serius unataka kuiona nitafute.
 
mkuu siku nyingine ijaribu kuimarket vizuri biashara yako.. jaribu kujaza hizi gaps

Make : ?

Model : ?

Mileage : ?

Engine size : ?

Fuel : ?

Drive : ?

Steering : ?

Transmission : ?

Ext. Color : ?

Manufactured year/month : ?

Door : ?
seat:?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom