richenriques
Senior Member
- Jun 6, 2015
- 188
- 33
Kiwanja kinauzwa kipo maeneo ya Vigwaza, Ruvu ni karibu na barabara, kuna shule, hospitali, umeme na maji, ukubwa ni hatua 20 kwa 37, bei milioni 4, inapungua...
Ni pale mtaa wa kwa zoka...kiko karibu na shule gani pale?