Vifaa vya duka la umeme na ujenzi vinauzwa

kijana13

JF-Expert Member
Sep 24, 2013
1,981
3,626
Nimefunga duka la vifaa vya umeme na ujenzi. Nauza vitu vilivyokuwepo kwa bei ya chini Zaidi ya wholesale kariakoo. Vitu kama switchs, bulbs, tube n fittings, vitasa, main switch,sink za Choo, Bomba connectors, etc vingi.
 
Toa maelezo vzuri mkuu usiwe kama unakimbizwa na kupigiwa cm ni baadae. Gharama jumla zake na kila unit tulinganshe na bei za uku
 
Back
Top Bottom