V V.P Member Apr 24, 2011 30 37 May 9, 2016 #1 Mwenye tippers za kukodisha in Dar naomba uni pm. Asante
Usedcountrynewpipo JF-Expert Member Aug 1, 2012 3,636 2,725 May 9, 2016 #2 Unahitaji za tani ngapi? Na kwa shughuli ipi, labda unajenga barabara, daraja au ghorofa?
V V.P Member Apr 24, 2011 30 37 May 9, 2016 Thread starter #4 18-20 tons. Kusomba na kusafirisha mchanga. Shukran
Ngonidema JF-Expert Member Jul 30, 2015 2,708 2,677 May 9, 2016 #6 V.P said: Mwenye tippers za kukodisha in Dar naomba uni pm. Asante Click to expand... ninayo Mkuu!