Kiwanja nanenane morogoro

vyevye

Member
Mar 5, 2015
19
7
Kiwanja chenye nyumba hadi rinta vyumba 4 vya kulala 2 kati ya hivyo ni masterbedroom kinauzwa. Kipo maeneo ya nanenane morogoro km 2 toka barabara kuu ya Dar moro. Kina hati kamili sqr meter 840.
Bei million 50 karibuni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom