geometry JF-Expert Member Oct 30, 2014 466 356 May 9, 2016 #1 Viwanja vipo maeneo mazuri na sio mbali kutoka barabara ya lami bei zinazotoautiana kutegemea na ukubwa wa kiwanja Kwa mawasiliano 0719573444
Viwanja vipo maeneo mazuri na sio mbali kutoka barabara ya lami bei zinazotoautiana kutegemea na ukubwa wa kiwanja Kwa mawasiliano 0719573444
SMU JF-Expert Member Feb 14, 2008 9,613 7,888 May 9, 2016 #2 Tuwekee ukubwa (size) ya hizo plots. Inasaidia kukupunguzia simu sisizo za lazima kwako.
K king90 JF-Expert Member Apr 18, 2014 368 217 May 9, 2016 #3 Mkuu vimepimwa? maana hali ni mbaya sana hasa kwa wanao nunua viwanja visivyopimwa sunami ya viwanja inakuja
Mkuu vimepimwa? maana hali ni mbaya sana hasa kwa wanao nunua viwanja visivyopimwa sunami ya viwanja inakuja