Spanish tiles Bei nafuu

Ngondonyoni

Senior Member
Feb 16, 2016
120
74
Ndugu Spanish tiles grade 1 45x45 cm ya floor zinapatikana Dar es Salaam ka Bei nafuu wholesale. Ukihizitaji tafadhali PM. Sihitaji dalali ila wateja.
 
Mwana mpendwa nimekujibu. Hossam Bei inaanza tsh 35000 s. m. ukihitaji nyingi inashuka
 
Ndugu Spanish tiles grade 1 45x45 cm ya floor zinapatikana Dar es Salaam ka Bei nafuu wholesale. Ukihizitaji tafadhali PM. Sihitaji dalali ila wateja.
Ninaomba nipe no.yako ya simu nikiwa tayari nitakutafuta maana karibu nitapata hela. Nijibu unipe no. yako ya simu
 
Ndugu Spanish tiles grade 1 45x45 cm ya floor zinapatikana Dar es Salaam ka Bei nafuu wholesale. Ukihizitaji tafadhali PM. Sihitaji dalali ila wateja.

WEKA NAMBA YA SIMU WATU WAKUPIGIE ,MAMBO YA KU-PM SIO MAZURI , AU NDIO ZILE TILES ZA CHINA KWENYE MABOX YA SPAIN
 
Asante ndugu Viking. Ni kweli wajanja wa tiles za China kwenye package ya Spain wapo. Daima namshauri mteja aje na fundi tiles ili amhakikishie ubora wa tiles zetu. Fundi mzuri anajua kuangalia kama tile ni rectified, unene wake, uzito, n.k. Utofauti wa Spanish na ya China ni kubwa sana kwa trained eye. Karibu sana mwenyewe ujihakikishie ubora wa bidhaa zetu. I la naomba kuuliza... kwa nini PM sio mazuri?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom