geometry JF-Expert Member Oct 30, 2014 466 356 Jan 20, 2016 #1 Viwanja vinauzwa maeneo ya Goba km 4 kutoka barabara ya lami ya Goba-mbezi Vipo vya 30 kwa 30(sq m900) mil 15-19 Vya mita 30 kwa 40 (sq m1200) mil19-22 mita 50 kwa 40 (sq m2000) mil 25-35 Kwa mawasiliano 0719573444
Viwanja vinauzwa maeneo ya Goba km 4 kutoka barabara ya lami ya Goba-mbezi Vipo vya 30 kwa 30(sq m900) mil 15-19 Vya mita 30 kwa 40 (sq m1200) mil19-22 mita 50 kwa 40 (sq m2000) mil 25-35 Kwa mawasiliano 0719573444
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 280,865 730,421 Jan 20, 2016 #4 avogadro said: Hakijawekewa X? Click to expand... Afadhali umeniwahi ila Kumbuka ni viwanja
avogadro JF-Expert Member Apr 30, 2013 7,861 14,029 Jan 20, 2016 #5 mshana jr said: Afadhali umeniwahi ila Kumbuka ni viwanja Click to expand... CAVEAT EMPTOR
fungi JF-Expert Member Mar 18, 2014 2,539 4,671 Jan 20, 2016 #7 Nsuri said: Goba sehemu ipi? panaitwaje? Click to expand... Goba kubwa aisee,aseme Goba ipi
geometry JF-Expert Member Oct 30, 2014 466 356 Jan 20, 2016 Thread starter #8 Nsuri said: Goba sehemu ipi? panaitwaje? Click to expand... Goba kulangwa
uncledalali JF-Expert Member Jan 10, 2014 249 117 Jan 21, 2016 #10 Nauza Kiwanja Goba Muungano, 3Km kutoka Goba njia nne.Ukubwa sqm700 bei milioni13, 0675107182.
K king90 JF-Expert Member Apr 18, 2014 368 217 Jan 22, 2016 #12 ONYO: Msinunue viwanja ambavyo havijapimwa. NEW DAR ES SALAAM CITY PLAN IS COMING SOON
grafani11 JF-Expert Member May 24, 2011 15,441 5,813 Jan 22, 2016 #13 Bomba la gesi, Bomba kubwa la Dawasco halijapitia huko?
geometry JF-Expert Member Oct 30, 2014 466 356 Jan 24, 2016 Thread starter #14 grafani11 said: Bomba la gesi, Bomba kubwa la Dawasco halijapitia huko? Click to expand... Halijapita
grafani11 said: Bomba la gesi, Bomba kubwa la Dawasco halijapitia huko? Click to expand... Halijapita
BABA TUPAC JF-Expert Member Sep 30, 2015 1,527 3,810 Jan 24, 2016 #15 geometry said: Halijapita Click to expand... Hicho cha 30x30 milioni kumi unapokea??
geometry JF-Expert Member Oct 30, 2014 466 356 May 9, 2016 Thread starter #20 fungi said: Bado vipo??? Click to expand... vimeuzwa na bado vipo hapa ni kama duka la viwanja huwez kosa kiwanja goba,sema tu ukubwa unaotaka
fungi said: Bado vipo??? Click to expand... vimeuzwa na bado vipo hapa ni kama duka la viwanja huwez kosa kiwanja goba,sema tu ukubwa unaotaka