Je wahitaji MEMORANDUM AND ARTICLE OF ASSOCIATION OF THE COMPANY LIMITED BY SHARES

biasharaTz

Senior Member
Apr 14, 2016
163
79
Habari wadau!
Kwa wale mnaotaka kusajili kampuni zilizokuwa 'limited by shares' karibuni. Nina utaalamu na masuala hayo ya uandishi wa vitabu hivi. Nakuuzia wewe mwenyewe utaiginga muhuri kwa mwanasheria baada ya kuhakiki jina la kampuni BRELA ni la kipekee
Ukihitaji hadi huduma ya kusajiliwa BRELA vile vile twaweza kuongea.
1. Bei Tshilingi laki na nusu (150,000Tzs) unapata hard copy na soft copy
2. Mahali napatikana Dar Es Salaam
3. Mawasiliano 0659 211 222
4. Hadi mikoani waweza kupata 'uaminifu, uadilifu ndiyo ngao yetu'
Karibuni
 
Back
Top Bottom