kibuga nolassco
Member
- Apr 24, 2016
- 7
- 0
Naomba kujua kwa wanaofahamu maeneo yanayofaa kwa kilimo cha bamia yya kukodi naomba kujua na bei mm nipo dar
Niambie ndg kuna maeneo yapoNjoo PM mkuu tuyajenge
Nina ekari 50 Morogoro, tuwasiliane 0767102102Naomba kujua kwa wanaofahamu maeneo yanayofaa kwa kilimo cha bamia yya kukodi naomba kujua na bei mm nipo dar