Naomba mtu anayejua utaratibu wa kupata mifuko ya kupaki bidhaa, mfano mifuko hii ya Chama, anaeleweshe. Nimefungua company, sasa nataka mifuko special ambayo itakuwa inapaki bidhaa zangu na mfuko...
We help in:- Proposal development, Questionnaire designing, Data analysis, Data presentation and Report writing
We also help in teaching different database and analysis software such as:-
MS...
ASILI YETU
Nikikundi kinachojiusisha na ufugaji wa ndenge tofauti,tupo Arusha.
Tunapenda kuwataalifu tunauza ndenge haina ya Bata Mzinga wakubwa miezi mitano
JIKE.100,000
DUME.120,000...
Baby boy Urinal Potty
Kwa watoto wa kiume
Weka mahala maalumu na mfundishe mtoto wako kutumia hana ndogo.
1. Rahisi kutundika ukutani
2. Rahisi kutoa inner set iliyo na mkojo na kurudisha
3...
Wengi wamekuwa wakiulizia uchoraji ramani, ukadiriaji wa ujenzi wa nyumba na gharama za upimaji viwanja na mashamba, nimebahatika kukutana na kijana huyu James Aloyce (facebook) mzoefu na...
Tunatoa Huduma za;
1. Uhakiki wa kiwanja chako kwa kuchukua 'coordinates' ili upate kujua kama eneo lako ni sahihi kulimiliki au la, usije kujenga katka eneo lililotengwa kwa shughuli za serikali...
Nyumba inapangishwa tegeta namanga,ni nyumba nzuri sana inafaa kwa familia au kwa ofisi.ina servant quater,fensi na car parking kubwa.dk tano kutoka new bagamoyo road.kodi ni sh 1M unaweza lipa...
Poleni na majukumu, nimekuwa na ndoto za kumiliki gari tangu zamani sana. Sasa kupitia shughuli zangu ndogo ndogo nimefanikiwa kusave shilingi laki nane (800,000) ambayo kwa maisha yangu mimi ni...
Shea butter ni nini?
Ni mmea kutoka wa aina ya kipekee kutoka West Africa. Tunda la mmea wa Shea uwa linatwangwa na kuchemshwa hili kupata Shea butter.
Faida za kiafya na urembo
Shea butter ina...
Hello wana jamii...
Kwa wale wapenzi wa vitabu vya riwaya za upelelezi, napenda kuwatangazia kuwa sasa kitabu cha malaika wa shetani kinapatikana kwa bei ile ile ya shilingi elfu 10,000.Ili kupata...