Nafunga CCTV camera

azzahzaquan

Member
Jun 8, 2016
22
3
kwa mwenye kuhitaji kufunga ama kurekebishiwa CCTV camera fundi nipo nafunga popote Tanzania gharama za usafiri na malazi nje ya Dar ni juu yako
 
Kufunga kwenye duka la biashara ni bei gani na zinahitajika camera ngapi??na gharama zake zipoje??
 
Ni biashara ya kawaida tu ndugu yangu biashara ya viywaji yenyewe...
 
Mim naomba kujua hii kamera inaweza kuhifadhi matukio kwa Massa manapi ama ama inaukubwa gani . inaweza ikachukua matukio ya mwezi nzima ama nahiyajika kufuta ikijaa
 
Back
Top Bottom