Kwa watumiaji wa daraja la kigamboni

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
1,347
2,049
Habari wakuu.Mimi ni mtaalamu wa software nafanya kazi maeneo ya posta.Naishi jirani na geti la daraja jipya la kigamboni.
Nina ombi moja. Natafuta jamaa anayepita na gari kuanzia saa moja kamili asubuhi hadi moja na nusu kutoka kigamboni kuelekea mitaa ya posta.
Lengo ni kuelewana naye namna ya kuchangia mafuta ili nipate lift muda huo kwani gari iliyokuwa inanipitia kwa sasa inapita muda tofauti na huo na hakuna daladala ya njia hiyo.
Msaada wenu tafadhali.

Simu:0713-039875 au 0784-976570
 
Back
Top Bottom