Nanunua IST(toyota)

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
1,369
2,077
Habari wakuu.
Natafuta IST(TOYOTA) yenye sifa hizi:

1.Iwe namba C au D

2.Jina la muuzaji liwe kwenye kadi

3.Bei isizidi milioni sita(6,000,000/-)

Simu:0713-039875 au 0784-976570
 
Hakuna IST ya bei hiyo kaka, kama Vitz utapata sio IST, Ukitaka IST bajeti ya chini kabisa weka Milioni nane 8,000,000
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom