Nauza printer ya kuprint picha hapohapo

bobdizo

Senior Member
Jun 28, 2014
137
50
Nauza printer ya kuprint picha hapohapo kwa bei nafuu sana ni used imetoka uingereza. bei ni sh laki moja tu.. tazama picha hapo.
99f6c6c996454792ab1921e4491cbae5.jpg
76f79b81e20b7944cfe5376856f2c37d.jpg
 
Kwa nini unaiuza? Wino wake bei gani pia namba ya wino ni ngapi? Wino mpya unaprint minimum picha ngapi?
 
Kwa nini unaiuza? Wino wake bei gani pia namba ya wino ni ngapi? Wino mpya unaprint minimum picha ngapi?
kaka kusema kweli sijui chochote nimeletewa tu niuze na huyo mtu toka uingereza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom