Viwanja vilivyopimwa ndani ya kiluvya makurunge vinauzwa

Rekoka

Member
Aug 12, 2015
22
16
-Viwanja vinauzwa kiluvya makurunge vipo kilometre 2 kutoka morogoro road.
-Huduma za jamii kama umeme,barabara na maji vinapatikana.
-Bei vinaanzia milioni tatu na nusu(3,500,000).
-Ukubwa wa viwanja unaanzia sqm 315 mpaka 3000 kwa matumizi
 
Sqm ndio nn ww? Sema miguu mingapi kwa mingapi? Sio kila mtu anajua hivyo vipimo vyako..
Alafu kiluvya ni kubwa ni wapi hasa? Gogoni, kwakomba, madukani au wapi hasa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom