Nahitaji Kukopa

JF Member

JF-Expert Member
Dec 14, 2014
7,760
10,488
Wadau mdogo wangu anahitaji kukopa, Yeye anafanya kazi lakini mikataba yao ni ya mwaka mwaka na wana-renew kila baada ya mwaka.
Tatizo sasa akienda bank hapati mkopo kiasi anachotaka kulingana na kiwango cha mshahara wake na mkataba wake wa kazi kuwa wa mwaka.
Afanyeje? Maana yeye anahitaji mkopo wa angalau miaka mitatu ndo akizi mahitaji yake.
Asante
 
ukifaniikiwa nijulishe tafadhali. ninashida kama hiyo.
 
Back
Top Bottom