hebu weka kapichani mtumba kutoka nje ni inch 19 ina DVD room HDMI na VGA port pia ina iPod dock bei ni 200k pia naweza exchange na simu, laptop ,tablet nicheki 0718097972 kwa maelezo zaidi na picha whatsapp hapa zimegoma
NB; imekuja bila remote so nauza bila remote