Eneo la hekari 8 lenye hati miliki linauzwa Bagamoyo

pc20

Member
May 28, 2016
24
10
Eneo la ekari 8 lenye Hati lililopo Mwavi kwenye kona ya barabara kubwa ya Lami ya Bagamoyo Msataa na Mkenge road kabla hujafika kiwangwa 18kms from Bagamoyo mjini.

Linafaa kwa Makazi, Petrol station, Bandari kavu, yard za magari, Hospital, Shule..nk itategemeana na matumizi ya mteja.
a102928ca354ffa5a1fc78e67659535f.jpg

Bei ni 450m. Pia tukikubaliana unaweza kulipa kwa installments kwa miezi 6 mpaka 10

Kwa yoyote mwenye kulitaka Tafadhali tuwasiliane kwa namba 0659 91 9292
 
Na hali yote hii kwenye usawa huu wa Magu!
Jitahidi kufanya matangazo yakutosha mkuu.
 
Back
Top Bottom