Kuchukuliwa coordinates wa kupima kiwanja chako

Rekoka

Member
Aug 12, 2015
22
16
- Kabla hujanunua eneo ambalo halijapimwa tutafute wataalamu tukusaidie kutokana na matakwa yako juu ya eneo hilo (tuchukue Coordinates na tukwambie kuwa hilo eneo limetengwa kwa matumizi yapi)

Kama unamiliki tayari, pia tutafute turasmishe eneo hilo kwa kulipima. Ili uishi kwa amani na uhakika wa eneo lako.
Bila kusahau eneo lililopimwa linakupa fulsa mbalimbali ikiwemo kukopesheka.

Kwa huduma ya upimaji tutafute
 
Back
Top Bottom