Wapi Zinauzwa Fito za Dish la ft 8?

1954tanu

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
1,038
487
WanaJF naomba kujulishwa wapi kwa Dar nawezapata fito za dish la ft 8 la bati(sio la wavu). Aidha, nijue na bei yake.
 
Back
Top Bottom