Njoo inboxSalaam wadau...natafuta mtu wa kutengeneza Risiti na Invoices books chache za ofisi.Pia aweze kudesign kidogo ili kuboresha design yangu.Mawasikiani 0689900000
Zinaweza kutumika zote risiti za kawaida na efd kwa wakati mmoja .Risiti? Hautumii efd mkuu?