Nauza shamba lenye ukubwa wa heka sita(6) zilizo kaa pamoja
.Mazingira ni mazuri sana
.Kinafaa kwa shule au hotel
.Kipo MAJI YA CHAI
.Umbali ni KM 2.5 kutoka barabara ya moshi arusha na KM 28...
Karibuni kwa perfume za kiume nzuri na zaukwel bei kuanzia 47,000 mpaka 79,000 weka oda yako sasa.
Ukihitaji kupata punguzo pia karibu utaelekezwa.
Nitafute kwa whatsapp/ text/ call +255 (0) 717...
Habari wadau!
Kwa wale mnaotaka kusajili kampuni zilizokuwa 'limited by shares' karibuni. Nina utaalamu na masuala hayo ya uandishi wa vitabu hivi. Nakuuzia wewe mwenyewe utaiginga muhuri kwa...
Kiwanja kina ukubwa wa 35 kwa 25, kina nyumba ya matofali ya block(rum 2 kawaida 1 self,jiko na public toilet ndani) iliyoishia kwenye renta, kipo Morogoro(Bigwa Misongeni). Bei ni 14m na sihitaji...
PHOTOCOPY MACHINE AINA ZA KYOCERA ,RICOH .TUNAUZA KWA BEI POA. PIA TUNAFUNGA NA KUFANYA MAINTENANCE, TECHNICAL ASSISTANCE.
CONTACT. WILFRED EDWARD NYANGILA
MOB.+255 719 603040
EMAIL...
Ndugu zanguni nahitaji msaada nataka kufanya biashara ya simu za mkononi brands hasa za Tecno zile za mtu wa kawaida nikiwa na maana ya simu ambazo sio smart.
Hivyo niombe msaada ni maduka gani...
Natafuta Android 5.1 tablets brand nzuri.Nahitaji kama 15 in total with good memory. where can I get genuine tablets and at what price. I'm reached at damax@gmx.com or nat867@gmail.com
Habari wakuu, nina gari aina ya Honda CR-V ya mwaka 1999 nauza kwa sh 7.5M. Gari ni Automatic na ipo katika hali nzuri, imetembea umbali wa Km 169,000 na ina insurance na toad licence mpaka...
Habari wadau,
Natafuta dereva kwa ajali ya familia;
1. Jinsia ya kike
2. Awe mkazi wa Dar es Salaam hasa maeneo ya sinza, kijitonyama, Kinondoni, Mwenge.
3. Awe na leseni halali ya kuendesha...
hello there
kama una website iliyopotea hewani ghafla then nipm.....vile vile narudisha password za web admin zilizosahaulika na kupotea......nipm or text 0654262419
Habari
Gari aina ya HONDA CRV inauzwa hapa jijini Mwanza. Inaingia nchini March, 2015.
Namba ya usajili ni DDM, bei ni 10m. kwa mawasiliano piga namba. 0765072213
Picha zitafuata kesho
Habari Jf,
Kwa wale wote wenye uhitaji wa msusi na dada wa saloon tuwasiliane kwani yupo msichana(binti) mchapakazi mwenye umri wa miaka 24 anaishi Mabibo_Dar es Salaam.
Ni mwaminifu, na hodari...
Jamani mbuzi wa maziwa haooooo! Wanauzwa kuanzia 100,000/= hadi 250,000/= Dar Es Salaam Mbagala Kongowe.
Sababu za kuuza ni kubadili mradi. Piga 0767802075 kama umependa