Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari za hapa. Muda si mrefu nitapokea sigara za aina mbalimali toka Cuba. Wapenzi wa hii kitu nijulisheni kama mnahitaji. Zitakuwepo Kohiba,Romeo and Julieta n.k Pia anayejua wapi nitaweza...
0 Reactions
5 Replies
936 Views
Nimeitumia kwa muda wa mwezi mmoja na nusu! Tu haina tatizo lolote napatikana arusha Tanzania naitupa kwa tsh 115,000/= tu Piga 0755062244
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Pata mashine bora za kutotoleshea vifaranga kwa bei poa sana. Pia mashine zetu tunatoa garanti. 0658100001
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama unahitaji huduma hiyo hapo juu please contact Me inbox...
0 Reactions
2 Replies
833 Views
Ni nyumba yenye viyumba vitatu vya kulala, one master bedroom, two bedrooms, public toilet and bathroom, store kitchen, dinning, sitting room, a servant's quarter, a nice parking lot of 4-5 cars...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Plots mbili ziko moriet ukubwa 33 by 22 each ni surveyed price 25nmb each, Kia kuna plots mbili moshono one is 25 by 20 location nzuri sana @ 20 min n.a. nyingine 22 by 20 @ 12Mln Nitafute...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamii soft website expert Jamii soft website expert
0 Reactions
0 Replies
709 Views
Pata mashine za kutotoleshea kwa bei nafuu kbisa. Tunatoa garanti kwa yeyote anunuaye bidhaa zetu. 0658100001
0 Reactions
2 Replies
922 Views
Kwa anayeweza kupata zaidi ya 150kg za sukari aje inbox ... Package ya kilo moja moja
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu nataka kukabiliana na panya buku katika makazi yangu, naomba kwa mwenye kufahamu anielekeze sumu bora kabisa ya panya.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna mashamba yanauzwa jaribu mpakani tomoni bei yake kwa kila heka ni shilingi milioni mbili. Zipo heka takribani ishirini. Kwa mawasiliano zaidi nitafute Whatsapp 0784979520.Liko jaribu pwani.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndugu Zangu Nimekuwa Na Shida Ya Haraka Kidogo. Naomba Mwenye Uwezo Wa Kunipatia Tsh 600,000 Ntampatia Baada Ya Mwez Mmoja Tshs 800,000. Dhamana Ni Vyeti Vyangu Vya Sekondari Mpaka Chuo Kikuu...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Pilipili ni kiungo kinachoongeza hamasa ya kula chakula na hutumika katika chakula cha aina yoyote...hii nmepika mwenyewe ktk mazingira safi na kua packed katika vifungashio salama kwa afya ya...
0 Reactions
3 Replies
860 Views
Gari iko vizuri sana na haina tatizo lolote Ina 4wd AC iko safi Automatic gear Inatumia petrol Power windows Model ya mwaka 1997 Bei ni milioni 9 tu. Angalia picha ukipenda karibu tufanye biashara...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jipatie mabati kwa bei ya kiwanda Tuna aina zote za mabati karibu ujionee tofauti kwa bei za kiwandani Migongo midogo za rangi 28gauge 9000/m,30gauge 8000/m Migongo mipana 28gauge 9500/m,30gauge...
0 Reactions
1 Replies
8K Views
DATA ANALYSIS TRAINING Kampuni ya Universal Consultancy imeandaa training kwa ajili ya wanafunzi wa Undergraduate,Masters na Watu wa Binafsi. Mafunzo yatakayotolewa yatajumuisha :- 1.Research...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wapendwa, Nbeauty saloon ingependa kuwajulisha kwa wale woote wapenda urembo, yakwamba, tunatoa mafunzo ya Saloon, kwa wanawake na wanaume. mafunzo yanayo tolewa ni urembo wote...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mabati ya msouth(IT5),(Migongo mipana) Mabati ya mikunjo(Versatile) Mabati migongo modogo(corrugated) ya rangi na meupe Mabati yenye chenga za miamba(natural stone coated Yamethibitishwa na...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Mimi ni mjasiriamali wa asali halisi.Ninatafuta soko la asali.Kwa yeyote anayehitaji asali naomba tuwasiliane ili upate asali halisi.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tangaza biashara yako kupitia #website tupo kwaajl yako tupigie,tuongee........au weka oda yako kupitia website ytu Www.tzwebxperts.com Au piga simu namba...
0 Reactions
0 Replies
857 Views
Back
Top Bottom