Kiwanja kinauzwa Kigamboni Gezaulole

mbere

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
6,967
6,463
Kiwanja kinauzwa Kigamboni Gezaulole Magengeni. Kina ukubwa wa 12.9mx27.3m. Kipo karibu na barabara ya lami..
Kimezungushiwa ukuta wa course 4 na kuna kisima cha maji kilichojengewa.
Bei 15M.. kwa maelezo zaid piga simu 0719960810
Vipi huko IDD ?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom