Pikipiki boxer inauzwa

clemence mtei

Senior Member
Feb 11, 2014
100
21
Nauza pikipiki aina ya boxer ni mpya nmeitumia miezi minne tuu kadi IPO kwa jina langu Million 1.8 nitafute 0658173016
0783546406
Nipo kongowe ya mbagala Dsm
 
e0a7b6901ad83cce12b8ccab2f035364.jpg
 
Hiyo pikipiiki ni BM 100 ama 150?

Je ina comprehensive ama third party insurance?

Je,unajua uchakavu?
Maama mpya ndo 1.8 ,na wewe u eitumia miezi minne maana yake imekulupa elf 10 kwa siku mara 30 ni laki tatu mara 4 ni 1.2 mil to bei ya kununulia 1.8 unatakiwa kuiuza laki SITA 6
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom