Ramani za nyumba za kisasa

Engineer mkuu

Member
Oct 11, 2014
99
21
Tunachora ramani za nyumba za kisasa kwa bei chee kabisa. Kwa mawasiliano zaidi Whatsapp 0717 040837 au 0767 267664
 
Tunachora ramani za nyumba za kisasa kwa bei chee kabisa. Kwa mawasiliano zaidi Whatsapp 0717 040837 au 0767 267664
Mkuu nitumie picha ya nyumba ndogo za kisasa zenye thamani ya kati ya milioni 10 mpaka 15.Namba yangu ni 0713724242
 
Bei chee sh ngapi? Ukiona mtu haweki bei muogope,kuna Jamaa alisema hivi hivi kumcheck inbox bei yake balaa anasema kuchora ramani ya kuipeleka manispaa kwa vibali ni 1.5m nikachoka hoi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom