Planning to buy a new Car!? Soma hapa.

Mwana Ilala

Mwana Ilala

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2013
Messages
1,286
Likes
252
Points
180
Mwana Ilala

Mwana Ilala

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2013
1,286 252 180
Get a huge discount when you purchase a car from BEFORWARD By using my ID number as stipulated/shown here on this Advert.

For more Info, plz contact me on the provided Email,

Or just send a PM.

Karibu
 
Attachments:

Saju b

Saju b

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2011
Messages
2,720
Likes
2,339
Points
280
Saju b

Saju b

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2011
2,720 2,339 280
Get a huge discount when you purchase a car from BEFORWARD By using my ID number as stipulated/shown here on this Advert.

For more Info, plz contact me on the provided Email,

Or just send a PM.

Karibu

View attachment 363529
Mmhh kila mtu akinunua gari si anakuwa na ID yake iweje nitumie yako? Mambo ya ndolema
 
Mm ni recognized Beforward Partner/Supporter.

Hivyo Wakati unafanya manunuzi ya Gari ya ndoto yako,

utakapo tumia ID yangu utakuwa na Uhakika wa kupata Discount ambapo, usingetumia ID yangu, hutoweza kunufaika na hiyo Offer ya Discount.

Karibu kwa Maelezo zaidi.

imageuploadedbyjamiiforums1467833847-461402-jpg.363628
 
Prince Mhando

Prince Mhando

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2014
Messages
4,885
Likes
3,999
Points
280
Prince Mhando

Prince Mhando

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2014
4,885 3,999 280
Mm ni recognized Beforward Partner/Supporter.

Hivyo Wakati unafanya manunuzi ya Gari ya ndoto yako,

utakapo tumia ID yangu utakuwa na Uhakika wa kupata Discount ambapo, usingetumia ID yangu, hutoweza kunufaika na hiyo Offer ya Discount.

Karibu kwa Maelezo zaidi.

View attachment 363628
WEWE UTANUFAIKA NINI NA HIYO DISCOUNT...?
 
Saju b

Saju b

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2011
Messages
2,720
Likes
2,339
Points
280
Saju b

Saju b

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2011
2,720 2,339 280
Mm ni recognized Beforward Partner/Supporter.

Hivyo Wakati unafanya manunuzi ya Gari ya ndoto yako,

utakapo tumia ID yangu utakuwa na Uhakika wa kupata Discount ambapo, usingetumia ID yangu, hutoweza kunufaika na hiyo Offer ya Discount.

Karibu kwa Maelezo zaidi.

View attachment 363628
Mm mwenyewe ni recognised hivyo napata discount kubwa tu...we tafuta watu wengine
 
Saju b

Saju b

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2011
Messages
2,720
Likes
2,339
Points
280
Saju b

Saju b

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2011
2,720 2,339 280
Unatakiwa uwe na 10.5M mkononi.

C&F inacheza hadi $2600.

Import Duty na gharama ndogondogo
Zitafikia 5.2/3/4/5
Hiyo anapata raum premio hapati
 
Mwana Ilala

Mwana Ilala

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2013
Messages
1,286
Likes
252
Points
180
Mwana Ilala

Mwana Ilala

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2013
1,286 252 180
WEWE UTANUFAIKA NINI NA HIYO DISCOUNT...?
Hapa Lengo sio kunufaika, Bali kama Partners wao, tunataka Beforward iwe ndio Chaguo namba1 kwa huduma, na Ubora unaolingana na thamani ya Pesa yako unayo ipata baada ya kufanya kazi na ku-save kwa mda ili uweze kujikwamua na Usafiri.

Karibu kwa maelezo zaidi.
 
Jephta2003

Jephta2003

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2008
Messages
4,162
Likes
2,464
Points
280
Jephta2003

Jephta2003

JF-Expert Member
Joined Feb 27, 2008
4,162 2,464 280
Get a huge discount when you purchase a car from BEFORWARD By using my ID number as stipulated/shown here on this Advert.

For more Info, plz contact me on the provided Email,

Or just send a PM.

Karibu

View attachment 363529
Mimi nataka rav4 ya milango mitatu ya kati 2001 na 2003 zile zenye injini ya 1ZZ(CC 1760),naomba makadirio yako nijipime kama nitaweza halafu tuongee kwa herufi kubwa, pls
 
kwemsangazi

kwemsangazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2013
Messages
251
Likes
31
Points
45
kwemsangazi

kwemsangazi

JF-Expert Member
Joined Jun 18, 2013
251 31 45
Mmhh kila mtu akinunua gari si anakuwa na ID yake iweje nitumie yako? Mambo ya ndolema
Kuna wakati fulani walikuwa na utaratibu Account yako ikinunua magari kumi yakitimia tu unapewa moja la bureeee!!!
 
Forum statistics

Threads 1,235,516
Members 474,633
Posts 29,225,425