Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Naomba msaada wa kufahamishwa bei za jumla za laptop, na je bongo yapo maduka ya jumla ya laptop au mpaka nje. [emoji120] [emoji120] [emoji120]
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Parakito(natural mosquito Repellent) -Anti mosquito Bracelet Reppelent band -Dawa halisi kwa ajili ya kuzuia mbu,ina kidonge ambacho kimetengenezwa mafuta kutokana na mimea ya lavender kwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wakuu wa JF! Duka gani hapa Dar naweza kupata bateri za lenovo Vibe??
0 Reactions
0 Replies
851 Views
kwema, nauza simu yangu C5 ipo kwenye hali nzuri sana naishi Mwanza. bei 150,000/=. Asante.
0 Reactions
5 Replies
957 Views
Wadau tikiti zipo tayari hekari 2 aina sukari F1 zipo chato mjini.Makubwa kama gari ni tani 30 .
2 Reactions
4 Replies
1K Views
guys natafuta Samsung galaxy demo unit zile ambazo haziingii line iwe ni kuanzia galaxy s6, s6 edge, note 5, s6 edge plus, s7 au s7 edge. natafuta kama show off kwenye project zangu za elimu...
0 Reactions
0 Replies
924 Views
JE UNA MTOTO/NDUGU yako aliyefeli kidato cha nne/sita? KP Professional Services(KPS) kwa kushirikiana na bodi ya uhasibu (NBAA) pamoja na bodi ya ununuzi (PSPTB) tunafundisha courses za uhasibu na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Biashara, kiwanja kinauzwa 17 kwa 40 Milioni tatu, Kibamba..
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kiwanja kiwanja Kinauzwa Maili moja, 17 kwa 40. Kinahitaji milioni tatu kamili. 0714363793
0 Reactions
2 Replies
780 Views
Mashamba bado yapo Morogoro maeneo ya Kiegea(bwawani) barabara ya gari hadi shambani,maji yapo,ardhi safi tuwasiliane kwa namba hii 0716792692 N:B nawashukuru tuliofanya nao biashara mnaweza kutoa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Salama wana jamii, naomba kujua bei ya soko la mahindi kwa sasa kibaigwa, kiteto na maeneo mengine mahindi yanapopatikana kwa wingi, Nakama mtu anaijua biashara hii ya mahindi naomba anisaidie...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Viwanja kwa ajil ya ujenz wa makaz na shughul nyngne za kimaendeleo vinapatkana kwa ukubwa wa 20/20 huduma muhim zinapatkana kwa ukaribu sana Lipia 65% then inayobak unalipa kdgo kdgo ndn ya wik...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Brandnew IPhone 5c for sale Full Boxed 16GB Internal Storage Price 450,000 Contact 0784780955
0 Reactions
2 Replies
949 Views
Nahitaji kilichopimwa, kiwe Nkuhungu, Kisasa ama irazo au sehem yoyote za jirani na zenye makazi sio viwanja vipya.
1 Reactions
5 Replies
2K Views
AFC ( Accountant Financial Consultants ) We are registered by NBAA (National Board of Accountant and Auditors, and we are known as the best tuition provider with 8 years experience. CPA Review...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Mwenye kuuza kifaa cha max malipo , anicheki 0655940802 before saa kumi ya jioni ya leo
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Two bedroom house for rent in Tabata Bima Dar es Salaam. Near tarmac road. Fenced, 2 car park space, independent LUKU & water meter, reserve water tanks 7,000 ltrs, 3 toilets (one is outside), one...
0 Reactions
1 Replies
894 Views
Kuna viwanja maeneo ya kigamboni geza ulole yale yale puna block A vyenye ukubwa tofautitofauti ambavyo kwa kila square meter inauzwa kwa tsh 15,000/= ambavyo vimepimwa na kuwa na uhalali wa hati...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Bati aina zote rangi upandayo,kofia,na misumali.kwa bei ya kiwandani.okoa garama,jenga kwa kununua bati kiwandani. It 4&it5(migongo mikubwa) gauge30 @8000 kwa meter It 4&it5(migongo...
1 Reactions
5 Replies
9K Views
Habari wanajamvi! Nimekuwa nikitumia simu ya mkononi ya TTCL kwa miaka kadhaa sasa. Simu hii ya mkononi inatumia teknolojia ya CDMA hivyo kuifanya ya kipekee na kutokubaliana mwingiluani na simu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom