Habari wanajf
Karibuni pilipili nliyoipika na kuiandaa katk mazingira safi kisha kua packed ktk vifungashio salama kwa afya ya mlaji...ni inaradha nzur na inatumika kulika katika chakula chochote...
Napenda kuwafahamisha kwamba sasa hivi mimi ni Wakala wa Bima. Ninatoa huduma za Bima kwa wateja na mali zao. Huduma ninazozitoa ni kwaajili ya kinga ya majanga yafuatayo;
Ajali za Magari...
habari wana bodi..nauliza kwa mtu yoyote mwenye ufahamu mahali Dar ambapo naweza pata hizo boards na bei yake ipoje according kwa dimensions wanazouza
i.e hizi na board za mdf zenye finishing kama...
Habari wana bodi
Nahitaji mtu wa uhakika ambaye atakuwa ananiletea kuku wa kienyeji kutoka Singida.
Awe na uwezo wa kuleta kuku wa kienyeji 80 - 100 kwa wiki.
Mtu ambaye yupo Singida na anaweza...
Wale watumiaji wa wallets za leather,, wadada kwa wakaka wahi sana tumefungua mzigo mpya kabsa,, wallets ni pure leather follow@bestleatherwallets @bestleatherwallets,, account yetu ya...
Habarini ndugu wana JF ,viwanja viwili vinauzwa vipo maeneo tofauti kimoja kipo mbezi lois na kingine kipo kifuru vyote vipo katika eneo ambalo gari linafika bila shida yeyote na ni tambalale...
Nauza Huawei P7 dual SIM cards(Microsim and Nanosim) SIM 1 ina support had 4G,Ram 2gb,internal 16gb,real camera 13MP,front camera 8MP,White color..nimeitumia kwa muda mfupi na bado ipo na box...
Ni kampuni yenye uzoefu katika kutoa huduma zifuatazo:-
1. Usafi wa maofisini, majumbani na maeneo mengineyo.
2. Huduma ya vibarua wa muda mfupi na muda mrefu.
3. Usambazaji wa vifaa vya maofisini...
Model: 43LF540T
Full HD TV (with resolution of 1920 x 1080)
Multi System: NTSC, PAL, SECAMLED
Backlight display technology
LG’s triple XD video processing engine inside
Smart Energy Saving...
Habari wana jf,nimeangalia katika website ya Enhence Auto Japan nimeliona gari aiana ya Mitsubish FTO nataka kulinunua na gharama zake ni shillingi $1850 FOB + CIF+insurance je vipi wadau...
wanaoifahamu vyema hii gari nipeni mawazo na usahuri pia uzoefu wenu hasa kwa matumizi ya hapa Dar na kusafiri nayo mikoani je inafaa na matunzo yake ni vipi ili idumu? Naombeni ushauri na mawazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.