Nahitaji gari ya kukodi Jumamosi

cagu

Member
Oct 27, 2010
79
12
Nahitaji gari ya kukodi, yaweza kuwa Vitz, corolla,Rav4, Carinaa,IST au gari yoyote nzuri. Ofa yangu ni 20,000-25,000. Mafuta naweka mwenyewe. Nipo Dar na nahitaji kwaajili ya mizunguko ya Dar kwa siku hiyo. Aliye naye anitafute kwa namba hii 0717441943.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom