Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Shamba lipo mkoa wa pwan wilaya ya kisarawe sehem moja inaitwa mtamba karibia na kwa mzungu gar linafika had shamban, Contact; 0656 698232
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Waungwana siku si nyingi nitakuwa safarini KASULU, naomba nifahamishwe guests house lodges za hazi ya Kati za gharama kati ya 15-25. Natanguliza shukrani. Zamaulid
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Natafuta kuku kuchi pure wapi nitawapata kiurahisi?
0 Reactions
3 Replies
10K Views
Eneo zuri kwa biashara linauzwa liko Boko magengeni njia panda ya kwenda ndege beach JKT. Lina ukubwa wa 1330sqm. Kwa maelezo zaidi 0766 082252.
0 Reactions
0 Replies
948 Views
Wakuu habari nahitaji mayai ya kienyeji nipo nafanya biashara hiyo ila location iwe Moshi kama unayo tuwasiliane kwa pm au email ymwanjowe@gmail.com
1 Reactions
0 Replies
898 Views
Bei 8million tshs. Serious buyers pls PM...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kiwanja kipo Umbali wa Mita 300 kutoka Barabara Kuu( Bagamoyo Road) Kiwanja Kimepimwa na kina hati. Ukubwa wa kiwanja ni Mita za Mraba 1200 Bei ni Tshs Milioni 250 Tuwasiliane: 0713226191 au...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Kuna chumba kinapangishwa tabata saa nene kikubwa bei sh 50000 ni pm kama unakitaka
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Double storey house for sale at mikocheni milion 450, 3 house for sale at Mbezi near white sands hotel $400000, plot for sale at kaunda with4000 sqmter near kenya embassy $4.5 milion. Call 0656015564
1 Reactions
2 Replies
532 Views
Habari wadau, nafanya kazi ya kutoa magari bandarini na mizigo ya airport kwa Gharama nafuu kabisa Pia natoa ushauri kwa wanaotaka kuagiza au jambo lolote kuhusu Export au Import, kwa maeleza...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kiwanja kipo Goba mjini mita 300 kutoka stand njia ni nzri ya kufika hadi kwenye kiwanja, ukubwa 40 kwa 50 bei yake 35ml.maongezi kidogo yapo ukihitaji Maelezo zaid au kuja kukiona wasiliana nami...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
DALALI MWANZA kwa mahitaji yako ya nyumba za kupanga.viwanja.magari.nyumba za kununua.mafundi wazuri na wachoraji wa ramani wazuri usiache kunifollow instagram na facebook dalalimwanza...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa wakazi wa Dodoma mjini karibuni KAIZER FASHION barabara ya 10 mjipatie pamba kali kwa bei poa jumla na rejareja Nguo za watu wa jinsia na wa umri wote zinapatika. Kwa mawasiliao zaidi contact...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za mchana wadau natumaini mpo poa... jaman naitaji king'amuzi cha azam TV kilichotumika wadau mwenye nacho naomba tuwasiliane kwa namba 0658038038... niko Dar
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa mashati ya kiume mazuri ya mtumba grade one bei ni 15000..
1 Reactions
20 Replies
9K Views
Naombeni kujua kwa wale waliobahatika kutumia hiki kinywaji kinafanya kazi vyema?
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Ninahitaji msaada kwa anayefanya biashara ya Used computers naomba uniambie kama unahusika nazo Jumla au rejareja. nitakucheki inbox. au kwa email: ymollel@gmail.com
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tupo barabara ya 10 Dodoma mjini mkabala na rambo store. Karibuni sana wandugu O767291786 au0688 au 0688939892
0 Reactions
0 Replies
572 Views
Salaam Nakusudia kuanzisha kiwanda kidogo cha usindikaji nafaka. Ila sifahamu sana kuhusu ubora wa electric motors Yaani sijui brand ipi ni durable, affordable and perfect for the project...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauza shamba lipo Morogoro, Maeneo ya Kiegea, Bwawa la kihonda kwa bei rahisi..kutoka Msamvu dk 40 kwa pikipiki unaweza kuchimba kisima Tuwasiliana kwa namba hii 0716792692 Asanteni
0 Reactions
17 Replies
7K Views
Back
Top Bottom