Nauza Shamba Morogoro

Constantine1

Member
Jun 14, 2016
31
7
Shamba lipo mikumi njia ya kwenda kilosa, Lina ukubwa wa heka 20 linapakana na mto ni sehemu nzuri kwa kilimo cha umwagiliaji,ufugaji wanyama hata kufuga samaki.
muhitaji WA kweli nitamuuzia kwa bei nzuri Sana.
kwa mawasiliano nipigie 0754524206
 
Hayo maelezo hayatoshi kuuza shamba, weka sample ya mkataba tuone kama ni lako kweli kama na wewe ulinunua
 
Kutoka mikumi ni umbali gani hadi shamba lilipo ?
Hilo shamba limesafishwa au bado ?
Mazao gani yanaweza kustawi ktk hilo shamba ?
 
kilomita 39 toka mikumi kwenda shambani.
panafaa kulima maharage, ufuta, choroko,kunde, mahindi,mpunga,mboga za majani,matunda,ndizi ,kakao,pamba nk
 
Shukrani kwa taarifa, samahani tena:
  1. Hilo Shamba limesafishwa? na lina vichuguu?
  2. wewe ni mwenyeji wa hapohapo mikumi?
  3. Hilo shamba lina hati halali ya serikali au ya kienyeji (itokanayo na kijiji)?
  4. Hilo shamba ni lako?
  5. Hilo shamba lipo ktk kijiji gani (nataka nijaribu kulocate kwenye google earth hicho kijiji)
  6. na wilaya ya (Mikumi)?/kilosa au Kilombero?
  7. Najua Mikumi imepakana na mbuga ya mikumi, vp hakuna wanyama wakali kama simba na wengineo ambao wanaweza kufika hapo?
Nitashukuru kwa majibu ya kila swali, asante.
 
Ni virgin land bado haijalimwa Ina vichuguu na miti ,hapo unaweza kuona rutuba yake ni kubwa.
Mimi naishi daressalaam
hati ya kijiji
Ni shamba langu
kijiji wanaita ulaya
wilaya ya kilosa
wanyama wapo mbali Sana ,hata ng'ombe wengi wa kufugwa hawapo wa kuleta vurugu shambani
 
Shamba lipo mikumi njia ya kwenda kilosa, Lina ukubwa wa heka 20 linapakana na mto ni sehemu nzuri kwa kilimo cha umwagiliaji,ufugaji wanyama hata kufuga samaki.
muhitaji WA kweli nitamuuzia kwa bei nzuri Sana.
kwa mawasiliano nipigie 0754524206
Mkuu hili shamba bado lipo?
 
Hicho kijijj kina majoka makubwa balaa...yale makoboka na black mamba yako sana hapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom