Vifaa vya cafe vinauzwa na frame yake inakodishwa pia

Bac3

Senior Member
Apr 21, 2016
129
68
deleted
 
Attachments

  • 1462611964658.jpg
    1462611964658.jpg
    25.2 KB · Views: 468
Umefungua ina wiki mbili tu na nusu na unaiuza tena why?kusije kua na tatizo hapo utuambie kwanza
 
Unauza au unakodisha? Nataka kujua, kama unauza hiyo cafe au unakodisha?
ninauza vifaa vyake complete ila frame nakuuzia tu mkataba wangu kwa maana ya kwamba ukilipia hicho kiasi unakuwa umelipia na mda wa miezi sita uliobakia ila ukiisha unaanza kulipa mwenyewe kwa mwenye nyumba kama kawaida
 
Toa maelezo vizuri mkuu mbona kama unakimbizwa . je? Bei gan kwa cku unaingiza ? Na je upo tayari kuuza nusu hasara ya 2m
 
Toa maelezo vizuri mkuu mbona kama unakimbizwa . je? Bei gan kwa cku unaingiza ? Na je upo tayari kuuza nusu hasara ya 2m
siwezi kutoa kiasi ninachoingiza kwa siku maana kila mtu ana utaratibu wake pia siwezi kuuza kwa nusu hasara kwa sababu sijapauza kwa sababu nina shida sana ila napauza kwa sababu kulingana na mda wangu na shughuri nyingine nakosa mda wa kumanage hiyo sehemu mwishowe vitu vinauzika ila mauzo siyaoni. so naona ni bora ni base kwa kitu kimoja kwanza afu nikishajipanga vizuri kumiliki mambo mengi kwa wakati mmoja ntaweza kufungua tena
 
Duuuh! Kwa hiyo hapa mkuu ni kama vile umeamua kufa na tai shingoni. Eti 'siwezi kuuza kwa nusu hasara kwa sababu sijapauza kwa sababu ya shida'....
 
Wengi tulidhani internet cafe, kumbe ni mgahawa. Hata hivyo kwa sasa mgawa unalipa kuliko internet cafe. Vp ushapata mteja???
bado sijapauza kutokana na kwamba wapo wengi ambao tushawasiliana ila bado mazungumzo hayajakamilika.Kwa hiyo bado napamiliki mimi
 
'Mtongani' ipi sasa?
Temeke-'Mtongani' au Kunduchi-'Mtongani'?
Sijaelewa.
 
Back
Top Bottom