Wezesha uwezeshwe, Saidia usaidiwe

kijazi07

JF-Expert Member
Feb 14, 2016
1,031
2,182
karibuni sana katika jambo hili jambo la kipekee hapa nchini kwetu na duniani kwa ujumla

Nalo ni ICHARITY CLUB. Icharity club ni club kama club ya riadha,club ya mazingira,club ya mpira n.k....
Club hii imelenga kusaidia mtu mmoja mmoja,jamii na dunia kwa ujumla....sana sana wale watu wasio jiweza mfano wajane,watu waliopata maafa mfano waliopata janga la mafuriko,watu wanaoishi kweny mazingira magumu mfano wakimbizi wafungwa,watu wenye magonjwa mbalimbali mfano waathirika wa ukimwi n.k. Kutokana na changamoto walizokuwa wanazipata watu hao.Walikuwa na uhitajin wa chakula,malazi na mavazi pia.
Charity ni tendo la kiungwana. Nikule kujitoa kwa moyo wote kuwasaidia wale wenye uhitaji msaada huo unaweza kuwa waki fedha au vitu pia.Mfano mtu akienda msikitin au kanisani akitoa sadaka ile ni charity kwasababu sadaka ile itaenda kuwasaidia wale wenye uhitaji.

Club hii ilianziswa marekani kwa malengo mathubuti ya kusaidia wale watu wenye uhitaji mfano wajane,wagonjwa n.k.......Hivyo basi waanzilishi wa hii club wali gundua kuwa moja ya changamoto inayoikumba jamii hii ya watu hawa wenye uhitaji ni changamoto ya kiuchumi au changamoto ya kifedha. Hivyo basi wakatengeneza mfumo ambao umelenga kuwasaidia watu wote dunia nzima kuweza kujiimarisha kiuchumi na kutokomeza umaskini. Namfumo huo ndio huu tunaouzungumzia yaa mfumo wa ichariy club

ICHARITY CLUB ni mfumo unaotupa fursa ya kutokomeza umaskini na kuimarisha uchumi wakila mtu bila kujali utaifa,udini,jinsia , kiwango cha elimu n.k
Mfumo huu ulizinduliwa rasmi mwezi December 2015 nakuanza kufanya kazi dunia nzima.Ukiwa umelenga kuwawezesha wanachama kupatiana misaada ya michango itakayo wawezesha kujikwamua katika changamoto mbalimbali za kimaisha kama vile ukosefu wa fedha kwaajili ya matibabu ,chakula,ada ya shule,ujenzi,usafiri,mikopo n.k pia mfumo huu unaweza kufufua ndoto na malengo ya wengi walio kata tamaa katika fursa na mambo mbalimbali katika maisha.

Icharity club yenyew inahusisha kuchangiana pesa kwaajili ya kusaidiana kiuchumi.Napesa hizo watachangiana wanachama wenyewe moja kwa moja. yaani member to member donation .......hakuna mtu kati yaan sio kwamba pesa unayo mchangia mtu itapitia kwenye office ya icharity la! si hivyo hapa ni direct donation yaan mtachangiana michango hiyo moja kwa moja labda ni kewa mpesa, tigopesa, airtel money,easy pesa,paypal,bitcoin n.k
Icharity haitagusa pesa zako yenyew imekupa mfumo makini utakao kusaidia,utakao kuongoza kuchangia na pia kuchangiwa pesa lakin haihusiki na kushika pesa za member yoyote yule
Ili uwe mwachama inabidi uwe na vitu vifuatavyoo
1.Majina yako kamili
2.Email address yako
3.Jina moja ambalo kutumia/nick name
4.Namba zako za account/ vodacom M-pesa,Airtelmoney au Tigo pesa zilizo sajiliwa kwa majina yako
5.Andaa Tsh 50,000/= halafu weka katika M-pesa au tigo pesa au airtelmoney

Ili uwe mwanachama (member) wa icharity club itabidi utoe mchango wa msaada ambao ni sh 50000/= utatoa mchango wa msaada kwa nani?utatoa mchango wa msaada kwa mtu ambae tayari ni member wa icharity club(yaan mtu aliekushirikisha kitu hiki) utampa mchango wa msaada ili kuweza kumsaidia kutokomeza umaskini na kuimarisha uchumi wake.Nayeye ukisha mtumia atakusajili kama mwana chama mpya .Namchango huo utamchangia mtu huyo moja kwa moja kwenye kwenye account yake kama ww utakavyo changiwa moja kwa moja kwenye account yako.

Ukisha sajiliwa tu kama mwanachama wa ichartity club unakuwa kwenye daraja au Grade one(1) yaan grade ya awali kabisa na kadri unavyozidi kwenda utapanda daraja kutoka daraja la kwanza kwenda lapili hadi daraja la kumi na kadri unavyo panda daraja ndo unavyo zidi kutokomeza umaskini na kukua kiuchumi
.
Sasa ukishakuwa mwanachama wa icharity club utakuwa na kazi moja tu... kazi ya kutafuta watu bora watano na sibora watu.Watu wachapa kazi,watu wanao chukia umaskini,watu wenye uchu wa maendeleo,watu wenye mawazo chanya katika maisha. watu hao utawapataje? hutakuwa pekeyako katika kutafuta watu hao hakika tutakushika mkono katika kutafuta watu hao.

Ukisha tafuta watu wako watano nao watakuchangia.Kila mtu mmoja atakuchangia ww mchango wa msaada Tsh 50000/= ili uweze kutokomeza umaskini na kuimarisha uchumi wako kama ww ulivyo mchangia yule aliekuunga mchango huo wa sh 50000/= ilikumsaidia kutokomeza umaskini na kukuza uchumi wake.
Hadi hapo utapata sh 250000/= kutoka kwa watu watano ulio wasajili.Kwa lugha rahisi wale watu watano waliuojiunga chini yako waite wanao na wao wata kuita ww baba yao maana ww ndo umewaunga.
Sasa WEWE ulipo unganishwa ulikuwa tayari upo daraja la kwanza kwahiyo kisha ingiza watu 5 unapaswa kupanda daraja kutoka daraja la kwanza kwenda daraja la pili. Utapanda vip daraja kutoka grade one kwenda grade two? Utapanda daraja kwa kumchangia BABU YAKO yaani yule alie muunga mtu alie kuunga wewe Tsh 100000/= unamchangia ili uweze kumsaidia kutokomeza umaskini na pia aweze kuimarisha uchumi wake.
HIVYO BASI katika ulemchango uliochangiwa na watoto wako watano ambao ni shilingi 250000/=
250000-50000=200000 HIYO 50000/= ndo ule mtaji wako uliomchangia baba yako
200000-100000=100000 HIYO 100000/=ndo ule mchango uliomchangia BABU yako
HIVYO BASI KWA WANAO WATANO ULIO WAINGIZA UTAJIPATIA SH 100000/= KAMA FAIDA YAKO HIYO ITAKUSAIDIA KUTOKOMEZA UMASKINI NA KUIMARISHA UCHUMI WAKO.

Wale watoto wako watano ulio waunganisha nao watatafuta watu watano kila mtu kama ilivyo kawaida hivyo basi watoto watano mara watu watano kila mtoto watakuwa ni watu 25.Watu hao 25 watakuwa ni WAJUKUU zako maana wametoka chini ya watto watano.
Hao WAJUKUU zako 25 nao wakiwa katika daraja la kwanza wakitaka kupanda daraja kwenda daraja la pili watamtumia,watamchangia BABU yao ambae ni WEWE Tsh 100000/= ili uweze kutokomeza umasikini na kukuza uchumi/kipato chako
WAJUKUU 25 MARA 100000/= NI SAWA NA SHILINGI MIL 2500000/= na hiyo ndo itakuwa faida ya wajukuu zako ukiwa daraja la pili.

WEWE unapaswa upande tena daraja kutoka daraja la pili kwenda daraja la tatu. Utapanda vip kwenda daraja la tatu ili uweze kupokea michango kutoka kwa vizazi vyako vya chini? utapanda daraja kwa kumchangia BABA YAKE BABU YAKO Ambae atakuita ww KITUKUU utamchangia mchango wa sh 200000/= ili aweze kutokomeza umaskin na kujiimarisha kiuchumi
Vivyo hivyo WEWE ulikuwa na watto watano, wakakupatia wajuu 25 sasa wale wajukuu 25 kila mjukuu atatafuta watu watano kwahiyo katika wajukuu 25 kila mjukuu akitafuta watu 5 watakuwa watu watu 125 ambao hao watakuwa VITUKUU VYAKO
Basi hao VITUKUU vyako nao wakifika daraja la pili(grade 2) wakitaka kuupgrade yaani kupanda daraja itawapasa wamchangie BABA YAKE BABU YAO ambae ni WEWE. Kwahiyo utapokea mchango wamsaada wa shilingi laki mbili kutoka kwa kilka KITUKUU kama ww ulivyo mchangia baba yake babu yako ile shilingi laki mbili ili kupanda daraja vivyo hivyo VITUKUU vyako 125 vitakuchangia ww kila mmoja shilingi laki mbili ili utokomeze umaskini na kukuza kipato chako

UTAENDELEA KUUPGRADE AU KUPANDA DARAJA MPAKA UFIKE DARAJA LA KUMI kama hivi
DARAJA 3......DARAJA 4=300000/=
DARAJA 4......DARAJA 5=500000/=
DARAJA 5.......DARAJA 6=750000/=
DARAJA 6.......DARAJA 7=1000000/=
DARAJA 7.......DARAJA 8=2000000/=
DARAJA 8.......DARAJA 9=2925000/=
DARAJA 9.......DARAJA 10=4175000/=

KUMBUKA UTACHANGIWA MOJA KWA MOJA KWENYE ACCOUNT YAKO MWENYEW. HAKUNA MTU KATI.

KWANINI SIO UTAPELI????JIBU.... NI HILI ( Nikweli kasi ya utapeli mitandaoni imekuwa kubwa sana haswa katika karne hii ya 21 ila icharity club sio narudia tena natena sio utapeli kwasababu inahusisha msaada wa mchango moja kwa moja toka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine bila kuhusisha mtu kati kwa kupitia m-pesa,tigopesa,airtel money,easypesa,benki,paypal,western union n.k)
Hivyo mtoaji akisha toa mchango mpokeaji hupata mchango huo papo hapo

KWANINI NA KUSHAURI UJIUNGE NA CLUB HII???? Kwa kipindi kirefu tumekuwa tukisaidiana katika shughuli mbalimbali za kijamii kama vile sherehe za harusi,sendoff n.k tena michango hiyo huundiwa kamati miezi kabla sio kitu kibaya ndio utamaduni wetu .
lakini ndugu zangu tujiulize ni mara ngapi tumechangiana katika shughuli za maendeleo/uzalishaji,shughuli ambazo zita weza kusaidia kupiga umasikini teke na kuimarisha uchumi wa kila mmoja
Hii ni nafasi ya kipekee itakayo weza kubadilisha maisha yako na ya jamii inayo kuzunguka.Tuchangiane kutokomeza umaskini,tuchangiane kujiimarisha kiuchumi


KUMBUKA
1.icharity club sio kampuni bali club
2.icharity club hai husiki na kushika fedha ya mtu yoyote bali pesa watatumiana wanachama wenyewew kweny acc zao wenyew
3.icharity club haina bidhaa na haijihusishi na biashara yoyote ile
4.Mfumo wa icharity club unatumiwa na wanachama bure
5.Sio lazima kujiunga na icharity club ni hiari yako
6.ukitoa mchango toa kwa moyo mungu atakuzidishia
7.icharity club sio pyramid wala ponze scheme
8.icharity club sio deci

kwa maelezo zaidi 1. 0658936339
2.0682388102
3.0755638950
4.0715943494
5.0689798382
utapatiwa maelezo zaidi unaweza kucheck namba yoyote hapo juu, utapatiwa maelezo zaidi pamoja na video

karibuni sana katika hii vita ya kupambana na umasikini via icharity club.

Asanteni sana.
 
Kwa hiyo nachanga
kwa nani? Kama natuma hela kwa tigo pesa huo mfumo wa icharity unahusikaje na muamala wa pesa?
icharity wametoa mfumo tu utakaokuongoza kujua utatuma donation au mchango kwa nan na utapokea kwa nani pia itahifadhi taarifa zako kweny office yako au acc yako ya icharity haihusiki na kushika pesa ya mtu yoyote
 
Yaleyale ya kutapeliana pesa mchana kweupe

Huo mchango heri nimesaidia wasiojiweza sio kupanda nisipotarajia kuvuna
sawa pia na ndo maana nikakuambia sio LAZIMA niuamuzi wako so siwez kukulazimisha au kukushika mikono.
 
Yaleyale ya kutapeliana pesa mchana kweupe

Huo mchango heri nimesaidia wasiojiweza sio kupanda nisipotarajia kuvuna
Jaribu kusoma between the lines.
Naamini hujaelewa. Kiukweli mfumo upo vizuri. Find me 0689798382 nitachukua Muda wangu kukupigia uelewe. Maamuzi ya kujiunga na icharity.club ni yako Ila Elimu kuhusu Hilo muhimu sana
 
Hahahaa hii ngumu kumeza!!? Sasa najuaje kama huyu ninayemtumia ni BABU yangu au ni BABA yangu wakati hakuna records zozote.
 
Back
Top Bottom