rodgers123
Senior Member
- Jul 12, 2015
- 161
- 128
Jamani natafuta mtu anayeuza Marine board ambazo ni used . Au mtu anayekodisha Marine board kwa ajili ya slab. Mimi najenga maeneo ya Wazo na ninahitaji haraka. Kwa mwenye kujua zaidi naomba anitaarifu.