Natafuta mkopo dhamana vyeti

pettymarcel

JF-Expert Member
Jun 17, 2012
2,161
880
Habar zetu wakuu ninashida na mkopo ya mil moja, dhamana yangu ni vyeti vya shule kuanzia sekondari hadi Chuo kikuu, marejesho nitarejesha asilimia kumi kila mwenz na nitarejesha ndani ya miez mitano inamaana kila mwenz nitarejesha laki tatu, Mimi nipo mwanza ningependa pia mwenye kunipa mkopo awe mwanza ili tiandikishiane kwenye serikali za mtaa yaan kuwe na washahidi wa panda zote mbili au kama akitaka tuwe partner mtaji wake wazo langu kwa mawasiliano tafadhali niandikie pettymichael92@gmail.com au nitext kwa 0625787884 asanten
 
Biashara ninayofanya ni ya kudeliver order na tenda ninazo mtaji hautosh
 
Yes japo ninauhakika sitashindwa coz hii biashara sio naanza Bali naendeleza
 
Wewe, wewe. Acha huu mchezo. Utakuja lia mbele ya safari. Hata kama vyeti vyako ni vya divishen five, usithubutu kumwachia mtu hata kidogo.
 
Ukifuatilia threads humu kuna mtu aliwahi kuja na wazo kama lako na akapewa ushauri, unaweza kuitafuta ili akupe mrejesho
 
Kwani elimu sio asset ebp unajua nimeigaramia kiasi gan hadi kuiweka bond kwa mil moja
 
Back
Top Bottom