Nyumba inapangishwa.. vituka jet lumo ( near airport dsm)

shaurimbaya

JF-Expert Member
Oct 3, 2013
1,915
2,329
Heshima kwenu brothers and sisters
Nyumba ya familia inapangishwa yombo vituka nyuma ya airport.. Maarufu kama Jet lumo ( kwa jimy " woodland pub") 3km from jk nyerere airport and 11 km from city centre.

Nyumba ina vyumba vitatu kimoja masterbedrum.

Ipo ndani ya fensi yenye nafasi ya kutosha 4 to 5 cars na ina gate

Ina umeme ( luku ) na maji ( drilling)

Ipo maeneo tulivu near Ikizu motel na ina Tiles

Bei ni 250,000 KWA MWEZI, KODI MIEZI 6

Nyumba inapangishwa now na aliye interested anicheki 0789 993350 au " shaurimbaya @ gmail.com
 

Attachments

  • IMG_20151120_120754.jpg
    IMG_20151120_120754.jpg
    50.8 KB · Views: 62
  • IMG_20151120_121038.jpg
    IMG_20151120_121038.jpg
    46.7 KB · Views: 42
  • IMG_20151120_120634.jpg
    IMG_20151120_120634.jpg
    69 KB · Views: 40
  • PicsArt_1450423072268.jpg
    PicsArt_1450423072268.jpg
    49.5 KB · Views: 52
Back
Top Bottom