NATAFUTA GARI MARK X


ngosha2011

ngosha2011

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Messages
699
Likes
50
Points
45
ngosha2011

ngosha2011

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2011
699 50 45
natafuta Gari aina ya mark x,namba kuanzia c,bajeti Yangu 11m
 
cmp

cmp

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
2,887
Likes
1,651
Points
280
cmp

cmp

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
2,887 1,651 280
11 m naona kama bajeti ndogo mkuu.Kwanini usijivute juu kidogo ukapata gari nzuri?
 
xuxu meyu

xuxu meyu

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2014
Messages
368
Likes
244
Points
60
xuxu meyu

xuxu meyu

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2014
368 244 60
Unatafuta gari au dalali wa magari maana kama unatafuta gari maduka ya magari huya onagi humo njiani au jeuri tu
 
maringeni

maringeni

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2013
Messages
2,994
Likes
3,321
Points
280
maringeni

maringeni

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2013
2,994 3,321 280
Gari hilo hata ukipata kwa bei hiyo matengenezo yake utayaweza? Maana ukiona linauzwa 20m+ ujue matengenezo yapo juu pia.
 
M

manchesterunited

Member
Joined
Dec 20, 2015
Messages
21
Likes
2
Points
5
M

manchesterunited

Member
Joined Dec 20, 2015
21 2 5
Gali nzuri mark x rivas inakuonyesha kila kitu ukiwa unarudi nyuma
 
Saju b

Saju b

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2011
Messages
2,719
Likes
2,337
Points
280
Saju b

Saju b

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2011
2,719 2,337 280
Gali nzuri mark x rivas inakuonyesha kila kitu ukiwa unarudi nyuma
Jamaa acha ushamba, hiyo inaitwa back camera na ni option ya gari nying tu inazo sio mark x pekee. Na kuna mark x zingine hazina hiyo option
 

Forum statistics

Threads 1,235,190
Members 474,353
Posts 29,213,936