Bati aina zote rangi upandayo,kofia,na misumali.kwa bei ya kiwandani.okoa garama,jenga kwa kununua bati kiwandani.
It 4&it5(migongo mikubwa) gauge30 @7500 kwa meter
It 4&it5(migongo...
Kuna clinic moja nilishawah kusikia inaitwa Herbal Clinic inatibu magonjwa sugu ikiwemo na fangasi.
Kama kuna mtu anajua ilipo hapa Dodoma anisaidie ili nikatibiwe, hata mwenye namba zao za simu...
Ndoto ni njia mojawapo ya Mungu kuzungumza na watu wake kwa lengo la kuonya, kufundisha, kukuonesha hatari iliyopo mbele yako au hata kukuonesha utakuwa nani baadaye! Tunaona katika Mwanzo 20:3...
Nauza Toyata IPSUM PICNIC Haijatembea kilomita Nying sana Bei 9.5 Maelewano yapo ipo Dodoma 0765 860 437
NOTE Gari haina cha Udalali ni kutoka kwenye Mali
Au lipia 5milion unipe na gari moja kati ya haya (raum, ist, wish, gx110)
Gari ni Prado
Automatic
Turbo, Diesel
85,000km,
Bei sh milion 16, ukiinunua Unaichukua haidaiwi
Haina tatizo lolote njoo...
Wakuu naomba kujuzwa bei ya mashine mpya ya kichina ya kukamua alizeti yenye uwezo wa tani 1-5 au zaidi kwa siku.Je bei yake ni ngapi kwa maeneo ya Arusha au Mwanza?
Kwa yeyote mwenye leseni za uchimbaji wa Madini aina ya marble ziwe na bluu au pick au nyeupe ziwe Pl au pml tuwasiliane kwa Namba
0752574545/ 0714452099
0718574545/ 0766441447
Email...
Wadau kwa heshima na taadhima naomba kwa mwenye kufaham mashine nzuri na yakisasa ya kukoboa mpunga naomba anipe taarif hizo hapa kwa kuzingatia yafuatayo.
1.Gharama za mashine husika
2.Ubora wa...
Toyota Progres hii gari nimetokea kuikubali sana, lakini sijui upatikanaji wa spare parts zake ukoje na fuel consumption zake sijui ukoje .. Kwa mwenye kuijua naomba anipe darasa kidogo maana...