PICHA: Vitabu mbalimbali vya Askofu Gwajima

malkiamrembo

JF-Expert Member
Mar 29, 2015
386
231
Ndoto ni njia mojawapo ya Mungu kuzungumza na watu wake kwa lengo la kuonya, kufundisha, kukuonesha hatari iliyopo mbele yako au hata kukuonesha utakuwa nani baadaye! Tunaona katika Mwanzo 20:3 "Mungu akamjia Abimeleki katika ndoto", pia Mathayo 2:12 "nao wakiisha kuonywa na Mungu katika ndoto!!" Hakuna ndoto ambayo mtu aliota kwenye biblia ambayo ilikuwa haina maana!!

Hata katika kizazi chetu cha leo, Mungu ameendelea kusema na sisi katika ndoto, anatoa maelekezo, maonyo au mafundisho, lakini watu wengi wamekuwa wakipuuzia ndoto walizoota, hata baada ya kuamka huishia kusema ni ndoto tu!! Mwanzo 41:7 Farao alishawahi kuota alipoamka alisema kumbe ni ndoto tu, lakini kila alichokiota kikatokea kama alivyoona ndotoni.

HATARI YA NDOTO ni kitabu nilichoandika kinaelezea maana ya ndoto, watu walioota ndoto kwenye biblia, muda gani utapita hadi ndoto yako kutimia, nini cha kufanya baada ya kuota ndoto iwe nzuri au mbaya na maarifa mengine mengi yahusuyo ndoto,kwa mfano watu wanaota ndoto za kukimbizwa au kukutana na mtu kimwili ndotoni, kulishwa chakula,kuota umekufa, kuota unakimbizwa ,kukabwa ndotoni na nyingine zenye hatari ambazo mtu anaota, Pia na wale walioota ndoto nzuri za mafanikio na namna ya kufanya ili yatimie.
Pia amesisitiza kuwa Kwa shughuli zetu za kila siku Mungu anaongea na watu kuhusu hatma ya maisha yao lakini wengi hawaijui sauti ya Mungu hivyo a nasubiri wanapolala na anasema nao kupitia ndoto juu ya mambo yatakayo wapata watu.
Kitabu hiki kitakusaidia sana maana kina maelekezo nn cha kufanya, na jinsi ya kuomba.na kuzifuta ndoto mbaya zote ulizowai kutoa au kuotewa na mtu.

*_BISHOP DR. JOSEPHAT GWAJIMA_*

Jitahidi upate nakala kwa ajili yako na ndugu yako ili mjue nini cha kufanya baada ya kuota ndoto!!

_Kwa mawasiliano zaidi 0625520125

Ukiagiza ulipo utafikishiwa .

df455ad958d40bf92d91cf7229d29405.jpg
 
1468790288770.jpg





Kile kitabu cha "NAMNA YA KUTUMIA
MALAIKA" kilichokuwa kinasubiriwa kwa hamu muda mrefu sasa kipo tayari.

Malaika ni wanajeshi wa Jeshi la Ufalme wa Mungu ambao kazi yao ni kuwatumikia raia wa Ufalme wa Mungu kwa kuwalinda wao pamoja na mali zao. Pia kuna kazi nyingine wanazofanya kulingana na sheria zinazoongoza majukumu yao katika ufalme.

Ili uweze kutumia malaika kwenye kila eneo la maisha yako ni vizuri kufahamu lugha ya malaika, namna wanavyotenda kazi pamoja na siri nyingi zinazohusu malaika.

Kupitia kitabu hiki utajifunza siri hizo kwa undani zitakazokupa ufahamu mzuri wa Jeshi la malaika wa mbinguni na namna ya kuwatumia ili upate ushindi mkamilifu hata kwenye lile eneo ambalo umeshindwa kupenya kwa miaka mingi. Pia utajifunza sheria 33 za kibiblia za namna ya kutumia malaika.

Kitabu hiki kina maombi ya nguvu yaliyoandikwa kwa uwezo wa Roho Mtakatifu, yatakayokuongoza namna nzuri ya kuwatumia malaika ili uwe na ushindi mkamilifu.

*_BISHOP DR. JOSEPHAT GWAJIMA_*

Jitahidi upate nakala kwa ajili yako na ndugu yako ili uwajue vizuri malaika na namna ya kuwatumia

_Kwa mawasiliano. 0625520125,

NB:
Kama upo mbali au unahitaji uletewe ulipo utasafirishiwa kwa Gharama zako na utaletewa ulipo.
 

Attachments

  • 1468790031300.jpg
    1468790031300.jpg
    36.2 KB · Views: 191
Back
Top Bottom