Pastor steven mdoe
Senior Member
- Jan 13, 2016
- 113
- 34
sababu ya kuuzwa ungeiweka ili mtu kupata urahisi wa kuamini inauzwa
Bado ipo mkuuvip ishapata mteja?
Hamna bwana mi naishi masite labda kipindi cha nyuma sasa hivi nadhani miundombinu imeboreshwa,usitishike kama una mkwanja kamata mjengoBei hipo juu sana.
Halafu hilo eneo siku kiwanda cha cement cha wazo kikimwaga lile vumbi lake la cement panakuwa hapakaliki.
Bei inapungua Mtumishi ?