Herbal Clinic iko sehemu gani Dodoma?

Herbal Clinic iko sehemu gani Dodoma?

The Black

Senior Member
Joined
Aug 8, 2013
Posts
193
Reaction score
112
Kuna clinic moja nilishawah kusikia inaitwa Herbal Clinic inatibu magonjwa sugu ikiwemo na fangasi.

Kama kuna mtu anajua ilipo hapa Dodoma anisaidie ili nikatibiwe, hata mwenye namba zao za simu aniPM.
 
Back
Top Bottom