FOR
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ DATE LISTED: 1 AUGUST 2016
ASKING PRICE: TSH:500,000
laki 5
TERMS OF PAYMENT: 6
MONTHS ( miezi 6) + KODI YA MWEZI MMOJA YA DALALI
DIRECTION...
Habari zenu wadau wa jf
Ninahitaji fundi anayetengeneza vitanda vya chuma aliyeko Tanga mjini.
Kama atapatikana nahitaji kitanda chenye size 5*6 iwe design nzuri.
Issue ya malipo tutaongea kwa...
Habari naitwa Msua nipo mwanza natafta MTU amna kampuni inayoweza kufanya kazi ya kudesign website kwa utaalamu wa hali ya juuu pia awe na uwezo wa kutumia php database kwa kifupi ni hayo kwa...
Wapendwa wanajamvi, ninaomba Kama kuna mwenye kujua kampuni huko Uarabuni za kuuza magari yaliyotumika. Ninatafuta used landcruiser ambulance. Ningependa kufanya biashara na kampuni zinazoaminika...
habari za leo wadau
mimi ni mhitimu wa shahada ya kwanza naishi mbeya lakini kuna vifaa ninavyo lakini sjui ni kipi nfanye li8 vinilipe naomben msaada wa mawazo.vitu hvyo ni:
camera canon...
Tunauza nguruwe wenye mimba uzao wa pili na kuendelea.Ni mbegu nzuri kabisa inazaa watoto 9-12. Bei ni 400,000-500,000 kwa mmoja
Tupo maeneo kijiji cha maseyu along morogoro road. Tunaweza...
Habar wakuu,simu yangu imekufa betri baada ya kuiacha chaj kwa muda mrefu sasa nimejaribu kutafuta betri dukani nimekosa,,sasa kwa Mwenye nayo hiyo betri ani PM,au a nichek.
kwa wale wapenzi wa simulizi katika mfumo wa sauti (AUDIO) sasa ni OFA kwenu kwa Tsh1500/= tu utatumiwa simulizichizo kila siku kwa whatssap ....
kwa mawasiliano zaidi- 0743624579
habari waungwana.nataka kujua kwa hapa dar wapi ntaweza kupata mbegu za nyanya zinazoitwa eden zinazotengenezwa na kampuni la seminis.natanguliza shukrani.
Wakuu salaam mimi nipo Iringa mjini nahitaji mbegu ya kitunguu. Nahitaji kulima eka moja nipo Iringa naombeni msaada. Mbegu ninayo hitaji ni aina hizi Mang'ora red,Red creole au bombay red...
Natoa huduma ya kuuza playstations 3 ambayo ziko chipped tayar na zenye michezo 5 ndani yake unayopenda wewe,ikiwa pamoja na padi mbili,adapter na waya wake ,michezo ipo ya kila aina na latest...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.