Pata bati kiwandani kwa bei ya kiwanda okoa gharama,Jenga kwa gharama nafuu

uta

Member
May 1, 2012
54
24
Bati aina zote rangi upandayo,kofia,na misumali.kwa bei ya kiwandani.okoa garama,jenga kwa kununua bati kiwandani.
It 4&it5(migongo mikubwa) gauge30 @7500 kwa meter

It 4&it5(migongo mikubwa) gauge28@9000 kwa meter

Versatile (za mikunjo) gauge30@10800 kwa meter
Gauge28@12000 kwa meter

Corrugated(migongo midogo) nyeupe bundle@205000=16 pieces gauge30

Za rangi migongo midogo gauge28 meter@8000
Gauge30@7000 kwa meter

Misumali 1kg 8000
Kofia 12000@1piece=3meter

221516f54cae7bcd007f1e24328cf009.jpg
b0b2a3919ed56b3a3fb1d33d568f389c.jpg
 
Tupo tazara
Piga 0656-816616
221516f54cae7bcd007f1e24328cf009.jpg
b0b2a3919ed56b3a3fb1d33d568f389c.jpg
NAULIZA HAPA DODOMA KUNA WAKALA WENU?
 
Haya biashara ndio hiyo tena na bure siku zote ni aghali, toka lini chuma scrape kikatoa chuma imara? Niliudhika sana baada ya kupiga bati ndani ya miaka mitatu juu nilikuta vitobo vidogodogo vinapitisha mwanga....hiyo nikahesabu ni hasara, juzijuzi najenga kakibanda kengine mafundi walinishitua sana ila pia walinionyesha bati zenye standard ya ukweli na sio bati za mtaani, gharama ni kufika tu pale karibu na TBC
 
Bati zipi hizo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom